Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika moja bila kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.
Wild 27 ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni iliyoandaliwa na mtayarishaji wa...
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu amesema kwakuwa klabu hiyo inasafiri na kushiriki michuano mikubwa Afrika, wanatarajia kuanzisha chaneli mtandaoni.
Kwa lugha ya kiarabu na lugha ya kifaransa huku akisema kwenye bajeti ya 2024/2025 mitandao ya kijamii ya Simba inatarajiwa...
MCHAMBUZI na Mwanachama wa Yanga Dominic Salamba amewamwagia maua yao Wananchi kwa kuwa na timu bora Afrika.
Salamba ameipatia sifa Yanga kutokana na kufanya makubwa sana, katika Ligi kuu kwa misimu mingi na michuano ya kimataifa kwa miaka ya hivi...
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara.
Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi walitwaa msimu wa 2023/24 walipomaliza...
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tano kimeshuka uwanjani ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 450.
Katika mechi hizo ushindi mechi nne Simba ilipata kwa kukomba pointi tatu mazima ambazo ni 12 ndani...
BEKI wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Ibrahim Bacca amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba anafunga kila mechi.
Nyota huyo alifungua akaunti ya mabao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold uliochezwa...
Wachambuzi wa michezo wameendelea kutoa maoni yao kuhusu timu za ndani zinashiriki michuano ya Kimataifa haswa kwa Simba na Yanga.
Moja kati ya wachambuzi hao ni Geofrey Lea ambaye ametoa kauli ya kwamba sio Simba wala Yanga anaweza kuchukua ubingwa...
Baada ya kupangwa kwa droo ya Ligi ya Mabingwa na Yanga kujua watakutana na nani na nani katika hatua ya makundi, basi moja ya timu tishio kwa Yanga ni MC Alger ya Benchika.
Sio tu timu pakee bali pale Alger...
Klabu ya Simba imejikuta ikiangukia kwenye mikono ya waarabu kwa mara nyingine tena, na safari hii timu zote alizopangwa nazo zinatoka nchi za magharibi ya Afrika yaani Tunisia, Algeria na Libya.
Kwa upande wa Mnyama Simba, yeye yupo kule kwenye...
ILISUBIRIWA SANA, hatimaye leo imewadia baada ya droo ya CAF ligi ya mabingwa Afrika kuchezeshwa rasmi.
Yanga ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo mikubwa Afrika, walijikuta wakiangukia kwa miamba TP Mazembe huku pia aliyewahi kuwa kocha wa...