UONGOZI wa Yanga umewaingiza kwenye mtego wapinzani wao KMC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kwa kuwaambia kwamba itapata ushindi wa pili kwenye mchezo wao ikiwa watafunguka. KMC baada ya kucheza mechi nne...
KIUNGO mshambuliaji wa Dodoma Jiji, Ibrahim Ajibu amesema mechi dhidi ya Simba itakayopigwa kesho Jumapili jijini Dodoma, haina utofauti na mechi zingine ambazo wamecheza Ligi Kuu. Dodoma Jiji itaialika Simba kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ikiwa ni muendelezo wa...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amemtaja kipa, Castor Muhagama amepunguza idado ya mabao ambayo walitakia kushinda katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Jumatano Septemba 25, Yanga ilipata ushindi wake wa pili katika mchezo wa Ligi Kuu kwa kumfunga...
BEKI wa Simba, Shomari Kapombe amefunguka kuwa alipewa jukumu la kuhakikisha anafanikiwa kumzuia mshambuliaji wa Al Ahly Tripol, Cristovao Mabululu kutofanya mashambuliaji katika mchezo wa kuwania kufuzu makundi ya kombe la Shirikisho Afrika. Amesema alichokifanya Mabululu kumpa mkono ndani ya...
Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika  CAF, Patrice Motsepe ameweka wazi mpango uliopo wa kuyafuta mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa lengo la kupunguza idadi ya mashindano ambayo yanaonekana kuwa mengi. Rais wa shirikisho la soka Barani...
STRAIKA mchana nyavu Leonel Ateba ameweka wazi kwamba msimu huu pale Msimbazi kuna kombe linatua na haitashangaza kwamba watalichukua kutoa wapi, ingawa kwa sasa yaliyo wazi ni yale yasiyo na mwenyewe hadi sasa ni lile la Ligi Kuu Bara...
Yanga ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya vibonde wa Ligi Kuu Bara, KenGold, kitu ambacho kimemfanya Kocha Miguel Gamondi ajiulize mara mbilimbili kulikoni? Ikizingatiwa kwamba timu waliyokuwa wakikabiliana nayo ni vibonde na inaburuza mkia. Pamoja na kujiuliza juu...
Nafasi ya kubutua mapene na Meridianbet ipo leo kwani ligi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Uingereza, Hispania, Ufaransa na kwingineko. Kushinda sasa ingia kwenye akaunti yako na ubashiri. BUNDESLIGA kule Ujerumani kupigwa kama kawaida VFL Wolfsburg atakiwasha dhidi ya VFB Stuttgart...
KIPA wa Simba, Moussa Camara amezungumzia ubora wa ukuta wa timu hiyo unaongozwa na Fondoh Che Malone na Abdulrazack Mohamed Hamza kama sehemu ya kufanya kwake vizuri katika michezo mitano iliyopita katika Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Afrika...
Mteja wa Meridianbet kama kawaida wikendi ndo hiyo inanukia ambapo Ijumaa ya leo mechi mbalimbali zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako sasa. Ligi kuu ya Hispania LA LIGA inatarajiwa kurindima leo kwa mchezo mmoja huku mwenyeji Real...