Jumamosi Yanga ikicheza katika Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, ilitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kutoa kipigo cha mabao 6-0 dhidi ya CBE ya Ethiopia, hivyo kufuzu kwa jumla ya mabao 7-1, kutokana...
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Hassan Dilunga amemtaja Clatous Chama kuwa ni kiungo bora aliyewahi kumshuhudia kwa miaka ya hivi karibuni kwa mastaa wa kigeni waliobahatika kucheza Ligi Kuu Bara. Dilunga na Chama waliwahi kucheza pamoja ndani ya Simba ambapo...
USHINDI wa mabao 3-1 ilioupata Simba juzi dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika, umempa mzuka kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids ambaye hakuficha hisia zake kwa kuwataja Kibu Denis na Moussa Camara. Simba imepata...
Beki wa Al Ahli Tripoli ya Libya, Thienry Manzi amemuomba radhi kiungo wa Simba, Deborah Fernandez, baada ya kumuumiza kwenye mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya mtoano. Tukio hilo lilitokea kipindi cha pili ambapo Manzi alionekana...
BAADA ya kutupia bao moja na kutoa pasi mbili za mwisho zilizozaa mabao mawili kati ya sita yaliyofungwa na Yanga Jumamosi iliyopita, kiungo wa timu hiyo, Mudathir Yahya ameonekana kuridhishwa na rekodi anazoendelea kuziweka kikosini hapo. Kiungo huyo ambaye alijiunga...
Hii ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mashujaa...
KOCHA wa zamani wa Yanga, Milutin ‘Micho’ Sredojevic, ameipongeza Simba kwa kiwango kizuri ilichokionyesha katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli huku akibainisha kwamba inaweza kucheza na mpinzani yeyote na kufanya vizuri. Micho...
WAKATI sakata la mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka likiwa bado halijaisha, limejibuka jipya kuhusu beki wa timu hiyo Mkongomani Daniella Ngoyi ambaye naye haonekani klabuni na hajatoa taarifa. Daniella anakuwa mchezaji wa pili kuondoka kambini bila taarifa baada ya...
Yanga imetinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo kwa msimu wa pili mfululizo ikiwa ni historia kwa klabu hiyo katika michuano hiyo ya CAF na sasa inasubiri kujua itapangwa na vigogo gani hatua hiyo mara baada ya...
Droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya kombe la Shirikisho la itachezwa Oktoba 7, 2024 huku wababe wa michuano hiyo wakitarajiwa kubaini wapinzani wao kwenye hatua ya makundi. Mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri...