HABARI ZA SIMBA
Habari za Simba Leo

MAKUNDI SIMBA NA YANGA KUJULIKANA OKT 7

Abubakar September 23, 2024 6:37 pm

Droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya kombe la Shirikisho la itachezwa Oktoba 7, 2024 huku wababe wa michuano hiyo wakitarajiwa kubaini wapinzani wao kwenye hatua ya makundi.

Mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri watakuwa kwenye chungu (Pot) namba 1 sambamba na Esperance, Mamelodi Sundowns na TP Mazembe huku Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho, Simba Sc wakiwa kwenye chungu namba 1, sambamba na Zamalek, RS Berkane, USM Alger.

PIGA PENATI USHINDE MAMILIONI KUTOKA MERIDIANBET…. YANGA YADONDOKEA KWA VIGOGO AFRIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

2 responses to “MAKUNDI SIMBA NA YANGA KUJULIKANA OKT 7”

  1. […] shaka umewahi kuwaona wachezaji wengi wa Ulaya na hata wa hapa Tanzania kama Simba, Yanga, Azam na vilabu vingine vikubwa wakiwa wamevalia vest nyeusi vifuani mwao? umekuwa ukijiuliza hizo vest […]

  2. […] Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate na Singida Black Stars zimekuwa […]