Home Uncategorized Simon Msuva aingia katika rekodi kuu baada ya miaka 39

Simon Msuva aingia katika rekodi kuu baada ya miaka 39

Simon Msuva, Sai kama wanavyomuita uwanjani ameingia katika rekodi muhimu katika mchezo unaoendelea muda huu. Tarehe 27/06/2019 saa 5:06 (Dakika sita ya mchezo)  alifunga bao lake la Kwanza katika michuano hii kwa Tanzania baada ya miaka 39. Binafsi ameweka rekodi, pia kama timu pia.

Bila kusahau dakika ya 40 ya mchezo huu Samatta, Mbwana aliifungia Stars bao la pili mara tu baada ya Kenya kusawazisha goli.

Hadi mapumziko Kenya 1-2 Tanzania, Tanzania haijawahi kushinda mechi katika michuano hii, Je leo itaweka historia hiyo? Kipindi cha pili kinafuata.

 

The post Simon Msuva aingia katika rekodi kuu baada ya miaka 39 appeared first on Kandanda.

SOMA NA HII  MAURIZIO SARRI KUIBUKIA JUVENTUS