Home Uncategorized KMC WAINGIA ANGA ZA YANGA, ZAMPIGA PINI MIAKA MIWILI AIYEE

KMC WAINGIA ANGA ZA YANGA, ZAMPIGA PINI MIAKA MIWILI AIYEE

NYOTA wa Mwadui FC, Salim Aiyee amejiunga na kikosi cha KMC kwa kandarasi ya miaka miwili.

Aiyee amefanya vema msimu wa mwaka 2018/19 ambapo amefunga jumla ya mabao 18 ndani ya Ligi Kuu.



Awali alikuwa akihusishwa kujiunga na timu ya Yanga pamoja na timu moja iliyopo nchini Sweden ambako alishindwa kujiunga huko kwa kukosa paspoti.

SOMA NA HII  HASSAN DILUNGA NYOTA WA SIMBA ANA KAZI YA KUENDELEZA TABASAMU PALE ALIPOISHIA