Uncategorized

NYOTA MPYA WA MTIBWA AANZA NA MAKEKE YAKUTOSHA

admin July 25, 2019 5:31 am

BAO la usiku lililofungwa na nyota mpya wa Mtibwa Sugar, Abdulharim Humud jana limeweka usawa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir FC.

Mchezo huu wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Chamazi ulimalizika kwa sare ya kufungana mabao 2-2.

Mabao ya Mtibwa Sugar yalifungwa na Haruna Chanongo dakika ya tano na la pili la kusawazisha lilifungwa na Humud dakika ya 81 baada ya wapinzani wao kusawazisha bao dakika ya 42 kupitia kwa Ngabonziza Blanchard dakika ya 42 na la pili liliongezwa dakika ya 57 na Gasongo Benjamini.

Huu unakuwa ni mchezo wake wa kwanza tangu ajiunge na Mtibwa Sugar, Humud ameanza kuonyesha makeke yake.

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI YANGA YAPANIA KUIFANYA SIKU YA WANANCHI YA KIPEKEE ZAIDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply