Home Uncategorized JAGUAR AFIKISHWA MAHAKAMANI, ATAENDELEA KUSOTA RUMANDE KAMA KAWA

JAGUAR AFIKISHWA MAHAKAMANI, ATAENDELEA KUSOTA RUMANDE KAMA KAWA


Mbunge wa Jimbo la Starehe nchini Kenya na Mwanamuziki Charles Njagua maarufu Jaguar leo Juni 27 amefikishwa mahakamani akituhumiwa kutoa lugha ya chuki dhidi ya wafanyabiashara wageni hususani Watanzania na Waganda nchini Kenya.

Mbunge huyo ataendelea kusota rumande kwa siku ya pili leo akisubiri uamuzi wa dhamana yake hapo kesho Juni 28.

SOMA NA HII  SIMBA SASA TUACHE KUJIFARIJI..... NJIA NI HII TU