Home Uncategorized Kandanda.co.tz ipo pamoja na Taifa Stars

Kandanda.co.tz ipo pamoja na Taifa Stars

Kuanzia leo hadi michuano itakapomalizika ya kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2019, Inayofanyika nchini Misri, Logo ya Kandanda katika tovuti na kurasa zake za mitandao ya kijamii , Facebook, Instagram, Whatsapp na Twitter itakuwa na jezi ya Nyumbani na Ugenini ya Tanzania.

Mbali na kuivaa jezi hiyo, wasomaji wetu watakuwa wanakumbushwa kila wakati kuwa hizi ndio jezi zetu za Timu ya Taifa Tanzania.

Endelea kufuatilia matokeo, ratiba bila kusahau uchambuzi wa mechi na matukio yanayohusu michuano hii ndani ya tovuti hii pendwa.

The post Kandanda.co.tz ipo pamoja na Taifa Stars appeared first on Kandanda.

SOMA NA HII  MORRISON ASIMULIA NAMNA ALIVYOFUATWA NA SIMBA KABLA YA MCHEZO WAO MACHI 8