Home Habari za michezo LEO NI LEO…TANZANIA vs ALGERIA….DEZO LOTE HILI NI KWA MSELELEKO ULE ULE...

LEO NI LEO…TANZANIA vs ALGERIA….DEZO LOTE HILI NI KWA MSELELEKO ULE ULE WA DStv NA KWA ‘MTONYO’ ULE ULE…


@edgarkibwana anasema soka la nguvu linaendelea ndani ya @dstvtanzania pekee!

Unaenda wapi? Furahia mechi bomba kabisa za kukata na shoka ikiwemo ya Tanzania vs Algeria ndani ya kifurushi cha Poa Jumatano hii na mechi ya Wales vs Netherlands siku ya Alhamisi tarehe 8 Juni.


Umelipia? Piga *150*53# kulipia kifurushi chako cha Poa ufurahie mechi hizi.

#DStvEwaaaah

SOMA NA HII  KISA KIPIGO CHA GOLI 5 BILA KUTOKA SIMBA....KOTEI AIBUKA NA HAYA MAPYA MTIBWA SUGAR...