NYOTA wa kikosi cha Mwadui FC, Salum Aiyee mambo yamezidi kumyokea kwake ambapo imeelezwa kuwa kwa sasa amewekwa kwenye mawindo na timu kama tano za Ulaya ambazo zinahitaji saini yake.
Kwa sasa Aiyee amemaliza mkataba na Mwadui anaskilizia ofa ya Yanga ambayo ipo mkononi mwake baada ya kuwaambia kwamba wampe mkwanja wa kutosha.
Habari kutoka kwa mtu wake wa karibu zimeeleza kuwa kwa sasa Aiyee anaweza kuondoka muda wowote kuelekea nchini Sweden kufanya majaribio kwenye moja ya timu ambayo inamhitaji.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.