Home Uncategorized PSG WATAJA DAU LA KUIKOMOA BARCELONA

PSG WATAJA DAU LA KUIKOMOA BARCELONA


PARIS St. German (PSG) imewaambia Barcelona iwalipe mkwanja wa pauni milioni 197 sawa na sh.bilioni 573 ili wamwachie Neymar Jr.

PSG ililipa kiasi hicho cha fedha wakati ilipomyakua akitoka Barcelona mwaka 2017.

Imeelezwa kuwa Neymar kwa sasa hana furaha kubaki ndani ya kikosi hicho, hesabu zake ni kurejea Barcelona.

SOMA NA HII  LAMPARD ASHANGAZWA NA SILVA