Uncategorized

YANNICK CARRASCO KUIBUKIA KWA WASHIKA BUNDUKI

admin June 11, 2019 1:41 pm

YANNICK Carrasco kwa sasa kuna uwezekano mkubwa kuibukia kwenye kikosi cha Arsenal kilicho chini ya Unai Emery kumwaga wino.
Winga huyo mwenye miaka 25 amefunga jumla ya mabao 11 kwenye mechi 31 alizocheza baada ya kujiunga na klabu ya Blue Hawks mwaka 2018.
Kwa sasa imeelezwa kuwa anawindwa na washika bunduki hao ili aongeze nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao.
Carrasco amesema “kwa sasa kuna ofa ambazo zipo mkononi mwangu ni suala la makubaliano tu na wakala wangu baada ya utaratibu kukamilika vizuri.
JERO TU UTAONA MECHI KALI YA LEO, MZUMBE VIJANA CUP, TEGETA STARS YAPATA MAKOCHA WAWILI WAPYA, WAANZA KAZI MOJAKWAMOJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply