IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ambaye pia ni nahodha, Mbwana Samatta amekuwa dhahabu kwa timu za Ligi Kuu England zikiitaka saini yake.
Mpaka sasa tayari imeelezwa kuna ofa tatu mkononi mwake kwa timu kubwa za England.
Timu hizo ni pamoja na Westham United, Leicester City na Everton ambazo zinahitaji kumpata mfumania nyavu namba moja ndani ya klabu yake ya KRC Genk.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.