Home Uncategorized CHALII WA ARUSHA ALIVYOBEBA MPUNGA WA SPORTPESA

CHALII WA ARUSHA ALIVYOBEBA MPUNGA WA SPORTPESA


Mkazi wa Arusha Bwana Revocatus M. Majura akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 10,317,378 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye Jackpot  ya SportPesa. Kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano SportPesa, Bi Sabrina Msuya.

SOMA NA HII  YANGA NA MTIBWA KAZI IPO, REKODI ZAO NI BALAA