Home Uncategorized SIMBA KUENDELEA KUTESTI MITAMBO AFRIKA KUSINI

SIMBA KUENDELEA KUTESTI MITAMBO AFRIKA KUSINI

192
0

Baada ya Simba jana kushinda mchezo wake wa kwanza wa kirafiki kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbert TVET leo wanacheza mchezo wa pili.

Mchezo wa leo utakuwa dhidi ya timu ya Platinum Stars huu ni mwendelezo wa Simba kujiaandaa na msimu ujao wakiwa kambini nchini Afrika Kusini.