Home Uncategorized BAADA YA KUACHANA NA SIMBA, HUKU NDIPO ANAPOELEKEA NIYONZIMA

BAADA YA KUACHANA NA SIMBA, HUKU NDIPO ANAPOELEKEA NIYONZIMA


Imeelezwa kuwa nyota wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya AS Vita ya Congo na APR ya Rwanda.

Niyonzima amewaaga mashabiki wa Simba na kusema kuwa hivi karibuni atataja timu atakayoenda huku tetesi zikieleza kwamba ana nafasi kubwa ya kutua Congo.

Imeelezwa kuwa timu hiyo iliutambua uwezo wa Niyonzima baada ya kucheza na timu ya Simba kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezaji huyo ambaye aliwahi ia kuichezea Yanga alijiunga na Simba msimu wa 2016/17 baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika.

SOMA NA HII  HAYA HAPA MABAO YA BERNARD MORRISON WA YANGA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here