Home Uncategorized BREAKING: AJIBU APIGWA PINI MAZIMA SIMBA

BREAKING: AJIBU APIGWA PINI MAZIMA SIMBA


IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.

Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya pasi za mabao 17 na kufunga mabao sita.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA BIASHARA UNITED KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA