Home Uncategorized BREAKING: BOCCO ATEULIWA KUWA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA

BREAKING: BOCCO ATEULIWA KUWA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA


Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ndayiragije Etienne amemteua Mshambuliaji John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani,akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni.

Taifa Stars inajindaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya Jumapili Julai 28 Uwanja wa Taifa.

SOMA NA HII  YANGA:DOZI BADO ITAENDELEA KUTOLEWA