Home Uncategorized CHEKI NAMNA MAKUNDI YA AFCON MWAKA 2021 YALIVYO, TANZANIA SAHANI MOJA NA...

CHEKI NAMNA MAKUNDI YA AFCON MWAKA 2021 YALIVYO, TANZANIA SAHANI MOJA NA WAARABU


MICHUANO ya Afcon nchini Misri mwaka 2019 imefika tamati na taifa la Allgeria wamebeba ndoo yao kwa mara ya pili baada ya miaka 29 baada ya kuwapiga bao 1-0 Senegal.

Tayari makundi ya kufunzu Afcon mwaka 2021 tayari makundi yameshatoka ikiwa ina maana kwamba mbio zimeshaanza kwa safari ya Cameroon

Cheki kundi la Stars lilivyo na kundi la mabingwa Algeria lilivyo:-

KUNDI A

Mali, Guinea, Namibia, Mshindi kati ya Liberia/Chad

Kundi B

Burkina Faso, Uganda, Malawi, Mshindi kati ya Sudan Kusini/Malawi.

Kundi C

Ghana, Afrika Kusini, Sudan, Mshindi kati ya Mauritius/Sao Tome

Kundi D

Congo, Gabon, Angola,  Mshindi kati ya Djibout/Gambia

Kundi E

Morroco, Mauritania, Afrika ya Kati  na Burundi

Kundi F

Cameroon, Cape Verde, Msumbiji na Rwanda

Kundi G

Misri,Kenya,Togo na Comoros

Kundi H

Algeria, Zambia,Zimbabwe na Botswana

Kundi I

Senegal,Congo, Guinea Bissau na Eswatini

Kundi J

Tunisia, Tanzania, Libya na Equatorial Guinea

Kundi K

Ivory Coast, Niger, Madagascar na Ethiopia

Kundi L

Nigeria, Benini, Sierra Lione na Lesotho

SOMA NA HII  CHAMA KARUDI NA USHINDI WAKATI SIMBA IKIPIGA MTU 5G UHURU