Home Uncategorized CHELSEA KULA SAHANI MOJA NA MANCHESTER CITY

CHELSEA KULA SAHANI MOJA NA MANCHESTER CITY


FRANK Lampard, meneja wa Chelsea amesema kuwa msimu ujao lazima ale sahani moja na Manchester City pamoja na Liverpool.

Lampard amebeba mikoba ya Maurizio Sarri ambaye kwa sasa ni meneja wa Juventus amepania kuleta ushindani licha yaChesea kuwa na adhabu ya kutoruhusiwa kusajili kwenye madirisha mawili makubwa ya usajili.

 “Msimu ujao ni lazima twende sambamba na Manchester City pamoja na Liverpool, wenyewe tunapaswa tujizatiti na kupambana kufikia malengo yetu,” alisema.

SOMA NA HII  STARS YABEBA MATUMAINI MAKUBWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here