Home Uncategorized KLABU TAJIRI YA CHINA YAMPA AHADI YA MSHAHARA MZITO GARETH BALE WA...

KLABU TAJIRI YA CHINA YAMPA AHADI YA MSHAHARA MZITO GARETH BALE WA MADRID


GARETH Bale ni bonge la dili nchini China licha ya Meneja wake Zinadine Zidane kumwambia wazi kwamba ni lazima aondoke ndani ya kikosi hicho.

Mshambuliaji huyo ambaye hataki kuondoka ndani ya Madrid inaelezwa kuwa timu moja yenye mkwanja wa kutoshha nchini China ya Beijing Guoan inaitaka saini ya mshambuliaji.

POia hesabu na maleno ya klbu hiyo ni kumfanya Bale kuwa mchezaji namba moja kwa malipo nchini China huku ikigoma kutaja dau itakaloweka mezani na kumlipa mshahara mchezaji huyo.

Bale amesema kuwa bado hajafikiria kuondoka ndani ya Madrid hivyo ataendelea kufanya mazoezi na wenzake hata kama hatapangwa kwenye kikosi.

SOMA NA HII  KOCHA MPYA YANGA AANZA NA MADINI HAYA