Home Uncategorized EXCLUSIVE!! MZEE KILOMONI SI MDHAMINI TENA SIMBA SC, USHAHIDI HUU HAPA

EXCLUSIVE!! MZEE KILOMONI SI MDHAMINI TENA SIMBA SC, USHAHIDI HUU HAPA


Hizi ni barua zilizotoka kwa kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa wakili huyo zinazothibitisha mdhamini huyo Mzee Hamis Kilomoni siyo mdhamini tena wa klabu yetu ya Simba.

Taarifa hii ilitolewa leo na Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori kwenye mkutano wake na wanahabari.

SOMA NA HII  MBELGIJI SIMBA AMFUNGIA KAZI IBRAHIM AJIBU