Home Uncategorized MTAMBO MPYA YANGA WATUA UWANJA WA NDEGE DAR

MTAMBO MPYA YANGA WATUA UWANJA WA NDEGE DAR


Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia Sadney Urikhob amewasili tayari Tanzania kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga.

Urikhob ametua nchini na sasa ataelekea mjini Morogoro kujiunga na wenzake kwa ajili ya kambi maalum inayoendelea.

Mshambuliaji huyo alishamalizana na Yanga kwa kuingia nao mkataba wa miaka miwili.

Pro huyo amepokelewa na viongozi wa Yanga katika Uwanja wa Ndege na sasa kinachofuata ni kambi ya moja kwa moja Morogoro.

SOMA NA HII  HUYU HAPA ANATARAJIWA KUKAA LANGONI MWA YANGA LEO KUZUIA MICHOMO YA SIMBA