Home Uncategorized KAMA UNADHANI MO ANAONDOKA SIMBA HILI NDIYO TAMKO LAKE

KAMA UNADHANI MO ANAONDOKA SIMBA HILI NDIYO TAMKO LAKE


Ujumbe aliouandika Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji ‘Mo’ ikiwa ni baada ya sekeseke lililojitokeza hivi karibuni juu ya yeye kuelezwa kuwa ataachana na Simba.


“Hate no one no matter how much they have wronged you. Live humbly no matter how wealthy you have become, think positively no matter how hard life is. Give much even if you have been given a little, and forgive who has wronged you”-

Usimchukie yoyote, haijalishi wamekukosea kwa kiasi gani. Ishi kwa upendo bila kujali utajiri ulioupata, kuwa na fikra chanya bila kujali ugumu wa maisha ulivyo. Toa zaidi hata kama ulipewa kidogo na wasamehe waliokukosea”, ameandika Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Instagram.

SOMA NA HII  VIDEO:HIKI HAPA ALICHOKIFANYA MLINDA MLANGO WA YANGA KWENYE MECHI DHIDI YA SIMBA