Home Uncategorized KAZI IMEANZA YANGA, YAPIGA MTU 10-1, BALINYA, SIBOMANA, NGASSA WALIAMSHA

KAZI IMEANZA YANGA, YAPIGA MTU 10-1, BALINYA, SIBOMANA, NGASSA WALIAMSHA


MOTO wa Yanga umeanza leo ambapo kwenye mchezo wa kirafiki wameshinda mabao 10-1 dhidi ya timu ya Tanzanite FC mchezo uliochezwa uwanja wa Highlands Park, Morogoro.

Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro na inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na AS Vita Agosti 4 uwanja wa Taifa kwenye kilele cha siku ya wananchi.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Mrisho Ngassa alitupia mabao 3, Issa Bigirimana, Papy Tshishimbi, Balama Mapinduzi, Juma Balinya, Rapahael Daud, Sibomana na Feisal Salum ‘Fei Toto’ hawa walitupia mojamoja.

SOMA NA HII  JESHI LA YANGA LITAKALOANZA LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA