Home Uncategorized LIVE: TANZANIA 0-0 KENYA

LIVE: TANZANIA 0-0 KENYA

MCHEZO unaoendelea kwa sasa uwanja wa Taifa ni kati ya Tanzania na Kenya.

Kipindi cha kwanza hakuna ambaye ameona lango la mpinzani wake, ushindani ni mkubwa na kila timu inapambana kutafuta matokeo.

Huu ni mchezo wa kwanza kwa ajili ya kuwania kufuzu michuano ya Chan, mashabiki wamejitokeza kuipa sapoti timu ya Taifa.

SOMA NA HII  KOCHA YANGA ASHINDWA KUJIZUIA, ATOA TAMKO JUU YA WABRAZIL SIMBA