Home Uncategorized LIVERPOOL: TUNAJIPANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO

LIVERPOOL: TUNAJIPANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO


JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa msimu ujao utakuwa mgumu kwa timu zote kutokana kila mmoja kujipanga.

Klopp amesema kuwa msimu uliopita alikwama kubeba ubingwa kutokana na makosa ambayo tuliyafannya mwanzo.

“Hatukufanya vibaya licha ya kuukosa ubingwa ambao umekwenda kwa Manchester City, wachezaji walipambana ila mwisho wa siku lazima mshindi apatikane.

“Kwa sasa ninaangalia namna kikosi changu kitakavyokuwa bora na kuleta ushindani, tuna matumaini ya kufanya vizuri,” amesema.

SOMA NA HII  MTIBWA SUGAR KUREJEA MORO LEO BAADA YA MCHEZO WAO DHIDI YA COASTAL UNION KUAHIRISHWA