JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kazi kubwa wanayo msimu ujao kwa kuwa hesabu zao ni kufanya vema.
Mwambusi amesema kikosi kipo tayari kwa ajili ya msimu pya na maandalizi yapo vizuri.
“Kwa sasa kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wapo tayari kwa msimu mpya, mashabiki wazidi kutupa sapoti,” amesema.
Mchezo wa kwanza kwa Mbeya City utakuwa dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Agosti 24 uwanja wa Sokoine.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.