Home Uncategorized MENEJA LAMPARD AANZA NA KINDA ODOI NDANI YA CHELSEA

MENEJA LAMPARD AANZA NA KINDA ODOI NDANI YA CHELSEA

KINDA Callum Hudson-Odoi inaaminika kwamba yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya klabu ya Chelsea.

Hudson-Odoi inaelezwa kuwa amechukua hatua hiyo baada kuhakikishiwa muda wa kucheza na kocha mpya wa Chelsea Frank Lampard.

Kinda huyo ana miaka 18 kwa sasa yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya kikosi hicho na kusitisha mpango wake wa kutimkia Bayern Munich.

SOMA NA HII  GWIJI MANCHESTER UNITED AMPA TANO FERNANDES