Home Uncategorized MSENEGAL SADIO MANE AWA LULU NDANI YA REAL MADRID

MSENEGAL SADIO MANE AWA LULU NDANI YA REAL MADRID


IMEELEZWA kuwa winga wa Liverpool anayekipiga timu ya Taifa ya Senegal ambayo imetinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Afcon ya Senegal, Sadio Mane anawindwa na Real Madrid.


Zinadine Zidane ambaye ni Meneja wa Real Madrid amevutiwa na uwezo wa nyota huyo ambaye ana tuzo ya ufungaji bora msimu uliopita ndani ya Ligi Kuu England.

Imeelezwa kuwa Madrid ipo tayari kumtoa nyota wake Vinicius Jr kwa mkopo ili kukamilisha dili la kupata saini ya Mane.
SOMA NA HII  HILO DAU ANALOTAKA MRITHI WA YONDANI NI NOMA NI NDANI YA GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI