Home Uncategorized TFF: KESHO TUNAFUNGA JUMLA ZOEZI LA USAJILI

TFF: KESHO TUNAFUNGA JUMLA ZOEZI LA USAJILI


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa kesho ndio mwisho wa usajili kwa wachezaji wa ndani.


Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema kuwa hakuna muda mwingine wa nyongeza kwa wale ambao bado hawajakamilisha zoezi.

“Julai 31 zoezi la usajili linafungwa jumla na hakuna muda wa kuongeza kwa wale ambao hawajakamilisha usajili.

“Kwa wale ambao wanendelea wasisahau kukamilisha usajili wao na kuwasajili wachezaji kwa njia ya mtandao yaani TFF Connect,” amesema.

SOMA NA HII  ALI MAYAI ATAJA SABABU ZA YANGA KUFUNGWA 3-0 NA KMC