PAUL Peter, mshambuliaji wa Azam FC leo amefunga bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania.
Mchezo huo wa kirafiki umechezwa uwanja wa Chamazi ukiwa na lengo la kuimarisha kikosi ulikuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote kutafuta matokeo.
Bao pekee la ushindi kwa Azam FC limepachikwa dakika ya tatu limedumu mpaka mwisho wa dakika tisini.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.