Home Uncategorized BOSS ALLIANCE: NI KWELI KUNA WACHEZAJI TUNAWACHAPA VIBOKO – VIDEO

BOSS ALLIANCE: NI KWELI KUNA WACHEZAJI TUNAWACHAPA VIBOKO – VIDEO


Ni katika toleo la Championi juzi Ijumaa tuliona namna ambavyo makocha mbalimbali ambao wamewahi kuifundisha timu ya Alliance walivyokuwa wakilalamika kuingiliwa katika kazi yao ya kupanga kikosi.

Kubwa zaidi wanamtuhumu Mkurugenzi wa timu hiyo ambaye pia ndiye meneja James Bwire.

Championi limepiga kmabi Mahina-Buzuruga Nje ya kidogo ya jiji la Mwanza yalipo makazi ya timu ya Alliance  Schools na Kuzungumza na Bwire ambaye amefunguka kila Kitu ikiwemo juu ya tuhuma hizo.

SOMA NA HII  NYOMI KAMA LOTE TAIFA SIMBA DAY, TIMU ZAWASILI, WALE WA BUKU TANO TIKETI ZIMEKATA