Home Uncategorized MAKONDA AMLIPUA DIAMOND JUU YA ISHU YA NDOA – VIDEO

MAKONDA AMLIPUA DIAMOND JUU YA ISHU YA NDOA – VIDEO


Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Agost 20, 2019 amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika mkutano wa 39 ambao ulifanyika jijini Dar es Salaam uliofanyika Agost 17 na 18, ambapo ametumia fursa hiyo kumpongeza rais Magufuli kwa kupokea kijiti cvha uenyekiti wa SADC kwa mwaka mmoja.

Aidha RC Makonda amerejea aahadi aliyoitoa kabla yakuanza mkutano wa SADC juu yakufuatilia suala la wanaume walioahidi kuwaoa wakina dada na kutokomea bila kukamilisha aahadi hizo ambapo amesema kuwa utaandaliwa mkakati ili kuweza ,kuwafikisha watu wenye tabia hizo mahakamani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Agost 20 amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika mkutano wa 39 ambao ulifanyika jijini Dar es Salaam uliofanyika Agost 17 na 18, ambapo ametumia fursa hiyo kumpongeza rais Magufuli kwa kupokea kijiti cvha uenyekiti wa SADC kwa mwaka mmoja. Aidha RC Makonda amerejea aahadi aliyoitoa kabla yakuanza mkutano wa SADC juu yakufuatilia suala la wanaume walioahidi kuwaoa wakina dada na kutokomea bila kukamilisha aahadi hizo ambapo amesema kuwa utaandaliwa mkakati ili kuweza ,kuwafikisha watu wenye tabia hizo mahakamani BAADA ya SADC Makonda “Msiniulize Suala la VIBAKA Kuongezeka”

SOMA NA HII  OKWI, NIYONZIMA CHUPUCHUPU SIMBA