Home Uncategorized MO AZUIA PRESS YA HAJI MANARA SIMBA

MO AZUIA PRESS YA HAJI MANARA SIMBA

Habari za Simba


Na Haji Manara

Boss wangu (Mo Dewji) amezuia press yangu ya kesho na huyu ni mtu ninayemuheshimu sana ,niwahakikishie nitaendelea kufanya kazi katika Club hii ya Simba ninayoishabikia sana’

Sote sisi nterest yetu ni Simba,hakuna kurudi nyuma hadi Wanasimba tutimize malengo yetu, Vita yetu sasa tuhamishie kwa Wabangu bangu.. Na tutawaambia kwa sauti kubwa.

SOMA NA HII  CORONA YASIMAMISHA TAJI LA TISA LA JUVENTUS IWAPO WANGELITWAA