Home Uncategorized NEWCASTEL UNITED KUTUMIA AKILI LEO MBELE YA ARSENAL

NEWCASTEL UNITED KUTUMIA AKILI LEO MBELE YA ARSENAL


STEVE Bruce, Meneja wa kikosi cha Newcastle United amesema kuwa leo atapambana kupata matokeo chanya mbele ya Arsenal.

 “Tunajua kwamba mchezo utakuwa mgumu hilo lipo wazi ila tutatumia akili kutafuta matokeo, na kazi yetu ni kupata matokeo.

“Nimewaambia vijana kuwa hakuna haja ya kuwa na presha kwani kila kitu kinawezekana kwenye mpira,” amesema.

Bruce ameajiliwa na Newcastle United akichukua mikoba ya Rafa Benetez. Huu unakuwa mchezo wake wa kwanza ndani ya Newcastel United na wa ufunguzi kwa timu zote msimu mpya wa Ligi Kuu England. 


SOMA NA HII  HIZI HAPA MECHI ZA YANGA NDANI YA LIGI KWA MWEZI SEPTEMBA