Home Uncategorized ARSENAL KUANZISHA MASHINE ZAKE MPYA LEO MBELE YA NEWCASTLE UNITED

ARSENAL KUANZISHA MASHINE ZAKE MPYA LEO MBELE YA NEWCASTLE UNITED


UNAI Emery, Meneja wa Arsenal amesema kuwa leo atawatumia wachezaji wake wengi wapya kwa kuwa anaamini wapo fiti.

Mchezo wa kwanza leo Arsenal atamenyana na Newcastel United ikiwa ni mchezo wao wa kwanza baada ya Ligi Kuu England kuanza kutimua vumbi Ijumaa.
“Ceballos yupo fiti kwa ajili ya kuanza leo na kupambana kwenye timu, nina amini wachezaji wote wapo sawa na kazi tunaanza kwa uzuri,” amesema.

Wachezaji wengine wapya ni pamoja na Nicolas Pepe, Kieran Tierney, Gabriel Martinelli, Dan Ceballos na William Saliba.
SOMA NA HII  ISHU YA SALAH KUMZINGUA MANE NI PASUA KICHWA NDANI YA LIVERPOOL, BOSI AICHA MIKONONI MWA WACHEZAJI