Home Uncategorized POLISI TANZANIA YAIPIGA MKWARA MZITO AZAM FC LEO

POLISI TANZANIA YAIPIGA MKWARA MZITO AZAM FC LEO

FRANK Lukwaro, Ofisa Habari wa Polisi Tanzania amesema kuwa kikosi kipo tayari kuwavaa Azam FC leo.

Polisi Tanzania iliyo chini ya Seleman Matola leo itamenyana na Azam FC uwanja wa Chamazi majira ya saa 1:00 mchezo wa kirafiki.

Akizungumza na Saleh Jembe, Lukwaro amesema wamejipanga kufanya vizuri kutokana na morali ya wachezaji wao.

“Tupo vema na tumejipanga ni suala la muda tu kwenye mchezo wetu, tunawaheshimu wapinzani wetu ila tutapambana kupata matokeo,” amesema.

SOMA NA HII  YANGA SASA WAWATAMANI AL AHLY BAADA YA SIMBA KUSHINDWA KUTAMBA