Home Uncategorized SIMBA NA AZAM FC LEO NI MWENDO WA KUTAFUTA REKODI MPYA TAIFA

SIMBA NA AZAM FC LEO NI MWENDO WA KUTAFUTA REKODI MPYA TAIFA


MARA ya mwisho, Simba na Azam FC zilimenyana kwenye mchezo wa ngao ya jamii Septemba 11, 2012 na Simba ikashinda mabao 3-2.

Simba imetwaa ngao ya jamii mara nne huku Yanga ikiwa imetwaa taji hilo mara tano.

Endapo itashinda Leo itaweka rekodi ya kutwaa Kombe hilo mara tatu mfululizo, ilianza 2017 mbele ya Yanga, 2018 mbele ya Mtibwa Sugar.


Leo itamenyana na Azam FC uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 usiku, hivyo Simba wanataka rekodi mpya na Azam wanataka rekodi pia.

SOMA NA HII  MFUMANIA NYAVU WA YANGA AWAPA NENO HILI MABOSI WAKE