Home Uncategorized KWENYE NGAO YA JAMII AZAM FC INAPATA TAABU KINOMA

KWENYE NGAO YA JAMII AZAM FC INAPATA TAABU KINOMA



JUMLA ya mechi 11 zimechezwa mpaka sasa kwenye ngao ya jamii kwa timu za Bongo zinazoshiriki Ligi Kuu Bara.


Kikosi cha Azam FC kimecheza jumla ya mechi tano na kimeshinda mara moja tu mbele ya Yanga na kutwaa ngao ya jamii.

Leo Azam FC inamenyana na Simba uwanja wa Taifa ikiwa ni mara ya sita na endapo itatwaa ngao ya jamii itaweka rekodi ya kutwaa mara ya pili na kushiriki mara nyingi zaidi.
SOMA NA HII  WATATU WA KIKOSI CHA KWANZA KUBAKI BONGO SIMBA IKIKWEA PIPA KUWAFUATA UD SONGO