Home Uncategorized UWANJA WA SIMBA KUWEKWA JIWE LA MSINGI LEO NA WAZIRI MWAKYEMBE

UWANJA WA SIMBA KUWEKWA JIWE LA MSINGI LEO NA WAZIRI MWAKYEMBE


WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi uwanja wa Bunju.

Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika kuanzia majira ya saa 4 kwenye uwanja huo uliopo kwenye matengenezo.

Uwanja huo wa Simba ni maalumu kwa ajili ya mazoezi ya timu hiyo ambayo kesho inamenyana na Power Dynamo uwanja wa Taifa.

SOMA NA HII  BLUE KUKUSANYA KIJIJI LEO MBAGALA, KUPIGA SHOO YA KIBABE MFANO HAKUNA