Home Uncategorized YULE MKAZI WA DAR ES SALAAM ALIYELAMBA MKWANJA WA SPORTPESA

YULE MKAZI WA DAR ES SALAAM ALIYELAMBA MKWANJA WA SPORTPESA


Mkazi wa Dar es Salaam, Yusuph Rajabu Changuvu akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,330,966 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita ya SportPesa. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti, Tarimba Abbas. Jackpot ya wiki hii ni shilingi 825,913,640/= za kitanzania.
SOMA NA HII  SVEN ANAWAFIKIRIA WAZIMBABWE KIMATAIFA