Home Uncategorized ARGUERO AONGEZA URAFIKI NA NYAVU, KWA KUTUPIA TU BALAA

ARGUERO AONGEZA URAFIKI NA NYAVU, KWA KUTUPIA TU BALAA

SERGIO Aguero,mshambuliaji wa Manchester City ameongeza urafiki na nyavu ambapo mpaka sasa ametupia jumla ya mabao 16 ndani ya Ligi Kuu England.

Amecheza jumla ya dakika 1,111 ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 69.

Pia nyota huyo ametoa jumla ya assisti tatu. Yupo nafasi ya pili kwa watupiaji ndani ya Ligi Kuu England.


Manchester City ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 51 na imefunga jumla ya mabao 65.

SOMA NA HII  VPL:POLISI TANZANIA 0-0 YANGA