Home Uncategorized JAMES KOTEI AANIKA UKWELI SUAL LA KWENDA YANGA – VIDEO

JAMES KOTEI AANIKA UKWELI SUAL LA KWENDA YANGA – VIDEO


Kiungo Mkabaji, James Agyekum Kotei Raia wa Ghana amefungukia tetesi za usajili wake zikimuhusisha kutua Yanga. 

Kotei aliyeitumikia Simba kwa Kipindi cha Misimu Mitatu kuanzia 2016, aliachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu uliopita na kutua Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa mkabata wa miaka mitatu.

Mghana Huyo tangu atue kwenye kikosi cha Kaizer amekuwa hana maisha mazuri huku akitumia muda mwingi kuishia benchi.

SOMA NA HII  ZAHERA AIBUKA NA YA KWAKE KUHUSIANA NA MORRISON

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here