Home Uncategorized LIGI KUU BARA: ALLIANCE 1-0 SIMBA

LIGI KUU BARA: ALLIANCE 1-0 SIMBA




Alliance 1-0 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba
Goool: Israel Mwenda dk ya 27

Dakika ya 30 Chinedu anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 27 Patrick Mwenda anafunga Goooal akiwa nje ya 18
Dakika ya 26 Nyoni anamchezea rafu mchezaji wa Alliance nje kidogo ya 18Dakika ya 24  Nyoni anapeleka mashambulizi Alliance
Dakika ya 19 Shiboub anapaisha juu pasi ya Kahata akiwa ndani ya box
Dakika ya 16 Kahata anapeleka mashambulizi kwa Alliance
Dakika ya 15 Simba wanapata kona ya nne inapigwa Chama
Dakika ya 13 Kakolanya anaokoa hatari
Dakika 12 Dilunga anapasha mpira akiwa na minda mlango 
Dakika ya 11 Uwanja wa CCM Kirumba
Dakika ya 10 Chama anapiga kona ya pili kwa Simba

SOMA NA HII  GWAMBINA FC YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA AZAM FC