Home Uncategorized LIPULI YASAJILI MAJEMBE NANE YA KAZI, DIDA WA SIMBA NA YANGA NDANI

LIPULI YASAJILI MAJEMBE NANE YA KAZI, DIDA WA SIMBA NA YANGA NDANI


MLINDA mlango wa Simba wa zamani na Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na timu ya Lipuli ya Iringa kwenye usajili wa dirisha dogo.

Leo Lipuli imetangaza jumla ya wachezaji 10 ambao ni ingizo jipya ndani Lipuli ikiwa ni pamoja na hawa hapa:-

Peter Mwangosi- Alliance kwa mkopo.


Said Mussa kutoka Yanga kwa mkopo.


Isihaka Luhago kutoka Azam FC.


David Mwantika kutoka Azam FC.


Joseph Mtama Mchezaji Huru.


Ally Myovela kutoka Tanzania Prisons


Said Mussa kutoka Yanga kwa mkopo na Shaban Ada 
Mchezaji huru

SOMA NA HII  RUVU YAKOMAA KUBAKI TP, MATOKEO NA TIMU ZILIZOSHUKA DARAJA HAYA HAPA