Home Uncategorized LIVE FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA

LIVE FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA



Dakika ya 27 Kakolanya anaanzisha mashambulizi kwa Kado
Dakika ya 25 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18 inapigwa na Chama
Dakika ya 24 Simba wabapata kona ya pili inapigwa na Chama haizai matunda
Dakika ya 23 Rashid Juma anajirusha kabla hajaguswa inapigwa faulo kwenda Simba kwa mujibu wa mwamuzi
Dakika ya 22 Kakolanya anakuwa kwenye hekaheka kwa shuti la Kihimbwa lililogonga mwamba
Dakika ya 21 Simba wanapata kona ya kwanza
Dakika ya 19 Shamte anapiga faulo inaishia kwenye ngome ya Mtibwa
Dakika ya 18 Kagere anachezewa rafu nje kidogo ya 18
Dakika ya 17 Humud anaanzisha mashambulizi kwa Mtibwa
Dakika ya 15 Gadiel Michael anapeleka ndani ya 18, Miraj anamtengeneza Kagere mabeki wanaanua mazima
Dakika ya 15 Issa Rashid, Humud anapeleka mbele mashambulizi anazuiwa na Shamte
Dakika ya 14 Ndemla anapiga pasi ndefu mbele inakwama inakutana na Issa Rashid, Gadiel Michael anapeleka pasi kwa Kagere anapishana na mpira
Dakika ya 13  Mtibwa wanaliandama eneo la Simba
Dakika ya 11 Nyoni ananzisha kwake Mkude wanarudishiana tena nyuma na Nyoni
Dakika ya 10 Mkude, Ndemla, Chama, Mkude, Rashid Juma, Gadiel Michael anapaisha
Dakika ya 09 Kona haizai matunda, Kakolanya aanzisha mashambulizi
Dakika ya 08 Mtibwa Sugar inapata faulo karibu na eneo la Simba inapigwa na Onesmo Mayaya anaipangua Kakolanya
Dakika ya 05 Shomari anabutua kwa Kibaya
Dakika ya 04 Mtibwa Sugar Issa Rashid anaokoa hatari ya Mkude
Dakika ya 2 Chama anachezewa rafu

Leo Januari 13, Uwanja wa Amaan ni fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Mtibwa Sugar na Simba.

Mashabiki wengi wamejitokeza leo kushuhudia fainali

SOMA NA HII  Amunike kujaribu wengine leo