Home Uncategorized MWANADADA OLIVA SHIRIMA AFANYA YAKE SPORTPESA AKIBEBA SH MILIONI 5.3

MWANADADA OLIVA SHIRIMA AFANYA YAKE SPORTPESA AKIBEBA SH MILIONI 5.3

Mshindi wa bonasi wiki hii ya Jackpot ya SportPesa Bi. Oliva Andrea Shirima kulia akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi mil 5,334,294/= na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bwana Tarimba Abbas katika ofisi zao jijini Dar es Salaam akiwa ni mwanamke wa kwanza kushinda bonasi kwa mwaka 2020.Jackpot ya SportPesa kwa sasa imesimamia kiasi cha shilingi 392,233,700/= TZS.

SOMA NA HII  LIVERPOOL: WATFORD WALITUVURUGA KINOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here