Home Uncategorized SERIKALI YAAMUA KUTOA TAMKO JUU YA SAMATTA KUTUA ASTON VILLA – VIDEO

SERIKALI YAAMUA KUTOA TAMKO JUU YA SAMATTA KUTUA ASTON VILLA – VIDEO

Baada ya kusani mkataba wa miaka minne na nusu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  jana Januari 21, 2020, amemwasa mcheza soka wa Tanzania aliyesajiliwa majuzi  kuchezea timu inayocheza Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ya Aston Villa, Mbwana Samatta, kuitumia fursa hiyo ili kujipatia mafanikio ya jasho lake badala ya kuhangaika na mambo yasiyo na tija.
SOMA NA HII  YAO NA SOMO KWA WAZAWA MAMBO YAPO HIVI